Ufunuo 2:5 BHN

5 Basi, pakumbuke pale ulipokuwa kabla ya kuanguka, ukatubu na kufanya kama ulivyofanya pale awali. La sivyo, naja kwako na kukiondoa kinara chako cha taa mahali pake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:5 katika mazingira