Ufunuo 2:7 BHN

7 “Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa!“Mshindi nitamjalia kula matunda ya mti wa uhai ulioko ndani ya bustani ya Mungu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:7 katika mazingira