Ufunuo 21:12 BHN

12 Ulikuwa na ukuta mrefu na mkubwa, wenye milango kumi na miwili, na kila mmoja ulilindwa na malaika. Juu ya kila mlango paliandikwa mojawapo ya majina ya makabila kumi na mawili ya Israeli.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:12 katika mazingira