Ufunuo 21:19 BHN

19 Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:19 katika mazingira