Ufunuo 21:21 BHN

21 Na ile milango kumi na miwili ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:21 katika mazingira