6 Kisha akaniambia, “Yametimia! Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uhai.
Kusoma sura kamili Ufunuo 21
Mtazamo Ufunuo 21:6 katika mazingira