Ufunuo 22:3 BHN

3 Hapana kitu chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa katika mji huo.Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwanakondoo kitakuwa katika mji huo, na watumishi wake watamwabudu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 22

Mtazamo Ufunuo 22:3 katika mazingira