Ufunuo 22:9 BHN

9 Lakini yeye akaniambia, “Acha! Mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako manabii na wote wanaoyatii maagizo yaliyomo katika kitabu hiki. Mwabudu Mungu!”

Kusoma sura kamili Ufunuo 22

Mtazamo Ufunuo 22:9 katika mazingira