Ufunuo 3:10 BHN

10 Kwa kuwa wewe umezingatia neno langu la kuwa na uvumilivu thabiti, mimi nitakutegemeza salama wakati ule wa dhiki inayoujia ulimwengu mzima, kuwajaribu wote wanaoishi duniani.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:10 katika mazingira