Ufunuo 3:15 BHN

15 Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo: Baridi au moto.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:15 katika mazingira