20 Sikiliza! Mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. Mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.
Kusoma sura kamili Ufunuo 3
Mtazamo Ufunuo 3:20 katika mazingira