Ufunuo 4:3 BHN

3 Huyo aliyeketi juu yake alikuwa kama almasi na jiwe zuri jekundu. Upinde wa mvua ulikuwa unang'aa kama zumaridi na ulikizunguka kiti cha enzi pande zote.

Kusoma sura kamili Ufunuo 4

Mtazamo Ufunuo 4:3 katika mazingira