Ufunuo 4:7 BHN

7 Kiumbe wa kwanza alikuwa kama simba, wa pili kama ng'ombe, wa tatu alikuwa na sura ya mtu, na wa nne alikuwa kama tai anayeruka.

Kusoma sura kamili Ufunuo 4

Mtazamo Ufunuo 4:7 katika mazingira