Ufunuo 7:1 BHN

1 Baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia, wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: Wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.

Kusoma sura kamili Ufunuo 7

Mtazamo Ufunuo 7:1 katika mazingira