15 Ndiyo maana wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Humtumikia Mungu mchana na usiku katika hekalu lake; naye aketiye juu ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu yao kuwalinda.
Kusoma sura kamili Ufunuo 7
Mtazamo Ufunuo 7:15 katika mazingira