Ufunuo 7:17 BHN

17 kwa sababu Mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uhai. Naye Mungu atayafuta machozi yote machoni mwao.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 7

Mtazamo Ufunuo 7:17 katika mazingira