Ufunuo 8:10 BHN

10 Kisha, malaika wa tatu akapiga tarumbeta yake. Na nyota kubwa ikiwaka kama bonge la moto ikaanguka kutoka mbinguni na kutua juu ya theluthi moja ya mito na chemchemi za maji.

Kusoma sura kamili Ufunuo 8

Mtazamo Ufunuo 8:10 katika mazingira