Ufunuo 9:11 BHN

11 Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani Mwangamizi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:11 katika mazingira