Ufunuo 9:13 BHN

13 Kisha, malaika wa sita akapiga tarumbeta yake. Nami nikasikia sauti moja kutoka katika pembe nne za madhabahu ya dhahabu iliyokuwa mbele ya Mungu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:13 katika mazingira