Ufunuo 9:15 BHN

15 Naye akawafungulia malaika hao wanne ambao walikuwa wametayarishwa kwa ajili ya saa hiyo ya siku ya mwezi huo wa mwaka huohuo, kuua theluthi moja ya wanadamu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:15 katika mazingira