19 maana nguvu ya farasi hao ilikuwa vinywani mwao na katika mikia yao. Mikia yao ilifanana na nyoka na ilikuwa na vichwa, nao waliitumia hiyo kuwadhuru watu.
Kusoma sura kamili Ufunuo 9
Mtazamo Ufunuo 9:19 katika mazingira