Waebrania 1:12 BHN

12 Utazikunjakunja kama koti,nazo zitabadilishwa kama vazi.Lakini wewe ni yuleyule daima,na maisha yako hayatakoma.”

Kusoma sura kamili Waebrania 1

Mtazamo Waebrania 1:12 katika mazingira