22 Kwa hiyo tumkaribie Mungu kwa moyo mnyofu na imani timilifu, kwa mioyo iliyotakaswa kutokana na dhamiri mbaya, na kwa miili iliyosafishwa kwa maji safi.
Kusoma sura kamili Waebrania 10
Mtazamo Waebrania 10:22 katika mazingira