26 Maana, tukiendelea kutenda dhambi makusudi baada ya kufahamu ukweli, hakuna tambiko iwezayo kutolewa tena kwa ajili ya kuondoa dhambi.
Kusoma sura kamili Waebrania 10
Mtazamo Waebrania 10:26 katika mazingira