Waebrania 10:28 BHN

28 Mtu yeyote asiyetii sheria ya Mose, huuawa bila huruma kukiwa na ushahidi wa watu wawili au watatu.

Kusoma sura kamili Waebrania 10

Mtazamo Waebrania 10:28 katika mazingira