Waebrania 10:34 BHN

34 Mlishiriki mateso ya wafungwa na mliponyanganywa mali yenu mlistahimili kwa furaha, maana mlijua kwamba mnayo mali bora zaidi na ya kudumu milele.

Kusoma sura kamili Waebrania 10

Mtazamo Waebrania 10:34 katika mazingira