8 Kwanza alisema: “Hutaki wala hupendezwi na tambiko, sadaka za kuteketezwa na za kuondoa dhambi.” Alisema hivyo ingawa sadaka hizi zote hutolewa kufuatana na sheria.
Kusoma sura kamili Waebrania 10
Mtazamo Waebrania 10:8 katika mazingira