Waebrania 11:23 BHN

23 Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Kusoma sura kamili Waebrania 11

Mtazamo Waebrania 11:23 katika mazingira