Waebrania 11:28 BHN

28 Kwa imani aliadhimisha siku ya Pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule Malaika Mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa Israeli.

Kusoma sura kamili Waebrania 11

Mtazamo Waebrania 11:28 katika mazingira