Waebrania 11:37 BHN

37 Walipigwa mawe, walipasuliwa vipandevipande, waliuawa kwa upanga. Walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na ngozi za mbuzi; walikuwa watu maskini, walioteswa na kudhulumiwa.

Kusoma sura kamili Waebrania 11

Mtazamo Waebrania 11:37 katika mazingira