8 Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende katika nchi ambayo Mungu angempa iwe yake. Ingawa hakujua alikokuwa anakwenda, Abrahamu alihama.
Kusoma sura kamili Waebrania 11
Mtazamo Waebrania 11:8 katika mazingira