Waebrania 12:10 BHN

10 Wazazi wetu hapa duniani walituadhibu kwa muda, kama wao wenyewe walivyoona kuwa vema; lakini Mungu anatuadhibu kwa ajili ya faida yetu wenyewe, tupate kuushiriki utakatifu wake.

Kusoma sura kamili Waebrania 12

Mtazamo Waebrania 12:10 katika mazingira