Waebrania 12:17 BHN

17 Nyinyi mnafahamu kwamba hata alipotaka kuipata tena ile baraka iliyokuwa yake, alikataliwa, maana hakupata tena nafasi ya kutubu, ingawa aliitafuta kwa machozi.

Kusoma sura kamili Waebrania 12

Mtazamo Waebrania 12:17 katika mazingira