5 Je, mmesahau yale maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja nyinyi kuwa wanawe?“Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana,wala usife moyo anapokukanya.
Kusoma sura kamili Waebrania 12
Mtazamo Waebrania 12:5 katika mazingira