7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
Kusoma sura kamili Waebrania 12
Mtazamo Waebrania 12:7 katika mazingira