Waebrania 13:15 BHN

15 Basi, kwa njia ya Yesu, tumtolee Mungu tambiko ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa kwa midomo inayoliungama jina lake.

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:15 katika mazingira