Waebrania 13:18 BHN

18 Mtuombee na sisi. Tuna hakika kwamba tunayo dhamiri safi, maana twataka kufanya lililo sawa daima.

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:18 katika mazingira