Waebrania 13:23 BHN

23 Napenda kuwajulisheni kwamba ndugu yetu Timotheo amekwisha funguliwa gerezani. Kama akifika hapa mapema, nitakuja naye nitakapokuja kwenu.

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:23 katika mazingira