Waebrania 13:9 BHN

9 Msipeperushwe huku na huku kwa mafundisho tofauti ya kigeni. Neema ya Mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti juu ya chakula; masharti hayo hayakumsaidia kamwe mtu yeyote aliyeyafuata.

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:9 katika mazingira