Waebrania 2:17 BHN

17 Ndiyo maana ilimbidi awe kama ndugu zake kwa kila namna, ili awe Kuhani Mkuu wao aliye mwaminifu na mwenye huruma katika kumtumikia Mungu, ili dhambi za watu ziondolewe.

Kusoma sura kamili Waebrania 2

Mtazamo Waebrania 2:17 katika mazingira