8 ukaweka kila kitu chini ya miguu yake.”Yasemwa kwamba Mungu alimweka mtu kuwa mtawala wa vitu vyote, yaani bila kuacha hata kimoja. Hata hivyo, hatuoni bado mtu akivitawala vitu vyote sasa.
Kusoma sura kamili Waebrania 2
Mtazamo Waebrania 2:8 katika mazingira