Waebrania 3:13 BHN

13 Maadamu hiyo “Leo” inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.

Kusoma sura kamili Waebrania 3

Mtazamo Waebrania 3:13 katika mazingira