Waebrania 4:6 BHN

6 Basi, hiyo ahadi ya kuingia bado ipo, maana wale waliohubiriwa Habari Njema pale awali walishindwa kuingia humo kwa sababu walikosa kutii.

Kusoma sura kamili Waebrania 4

Mtazamo Waebrania 4:6 katika mazingira