Waebrania 5:12 BHN

12 Kwa wakati huu nyinyi mngalipaswa kuwa waalimu tayari, lakini mnahitaji bado mtu wa kuwafundisheni mafundisho ya mwanzo juu ya neno la Mungu. Mnahitaji maziwa badala ya chakula kigumu.

Kusoma sura kamili Waebrania 5

Mtazamo Waebrania 5:12 katika mazingira