Waebrania 7:14 BHN

14 Inafahamika wazi kwamba yeye alizaliwa katika kabila la Yuda ambalo Mose hakulitaja alipokuwa anasema juu ya makuhani.

Kusoma sura kamili Waebrania 7

Mtazamo Waebrania 7:14 katika mazingira