Waebrania 7:6 BHN

6 Lakini huyo Melkisedeki hakuwa wa ukoo wa Lawi, hata hivyo alipokea sehemu ya kumi kutoka kwa Abrahamu; tena akambariki yeye ambaye alikuwa amepewa ahadi ya Mungu.

Kusoma sura kamili Waebrania 7

Mtazamo Waebrania 7:6 katika mazingira