Waebrania 8:11 BHN

11 Hakuna atakayemfundisha mwananchi mwenzake,wala atakayemwambia ndugu yake:‘Mjue Bwana’.Maana wote, wadogo na wakubwa, watanijua mimi.

Kusoma sura kamili Waebrania 8

Mtazamo Waebrania 8:11 katika mazingira