Waebrania 8:13 BHN

13 Kwa kusema juu ya agano jipya, Mungu alilichakaza lile la kwanza; na chochote kinachochakaa na kuwa kikuukuu kitatoweka karibuni.

Kusoma sura kamili Waebrania 8

Mtazamo Waebrania 8:13 katika mazingira