Waebrania 9:10 BHN

10 kwani haya yote yanahusika na vyakula, vinywaji na taratibu mbalimbali za kutawadha. Yote hayo ni maagizo ya njenje tu; na nguvu yake hukoma wakati Mungu atakaporekebisha vitu vyote.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:10 katika mazingira