Waebrania 9:17 BHN

17 Wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:17 katika mazingira